Mkubwa fella: WCB wanaweza kufanya show Fiesta

Mkubwa fella: WCB wanaweza kufanya show Fiesta

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mkubwa fella ambaye ni mmoja wa manager wa diamond ameulizwa swali wakati akifanyiwa mahojiano na bongo5 akaulizwa mkialikwa mfanye show ya fiesta mtaenda mkubwa fella akamjibu mwandishi " si tunaweza kufanya show yoyote hapa nyumbani hata iwe fiesta Wala hatuna tatizo Kama tutakubaliana mpunga tofauti na hapo hatufanyi show" akaongezea pia

Tumefika hapa tulipo cos tunaheshimu maslahi yetu Kama WCB na tunajua thamani ya msanii wetu hatuwezi kufanya show chini ya kiwango alichoweka msanii wetu diamond.
 
Back
Top Bottom