Mkubwa na mwanae walikuwa wanapunguzia wapi vibubu vyao vikijaa???

Wafungwa wengine wakiwamo ndugu zako utawauliza lini?
 
Tukuambie kwani tulikuwa nae mlendani?
Smh!
 
We kilaza kweli walfungwa gereza LA ukonga sio












segerea
 
Soap zipo
 
Mkuu ukiwa kule ndani hata miaka 30 kila siku utakuwa na mawazo kwa muda wote akuna kukumbuka hata kuuwa una machine utaona kama kifaa cha kukojoa tu ila mawzo ya sex ayatakuwa ni ngumu sana kupata ayo mawazo
 
me banaa nilikua napenda Sana ufuska..haipiti siku tatu naweka..ikatokea time nkapata matatizo Kuna bizness imeenda hovyo,kesi haina dhamana..nkakaa jela kwa muda kimtindo..mle ndani huwezi kua na hamu..daily unawaza jinsi ya kutoka..stress and muda mwingi mnakua pamoja..yakikuzidi Una masturbate..but vigumu kuwa na mawazo ya ngono..trust me..
 
Ww mpkaa nikupe kyuuma usiku mzima uhangaike nayo ndo utaniheshimu maana naonaa unanichukulia poaa saana
Mkuu,msusie tu hyo qummer kama ulivyosema kwenye lileandko lako jingine ili ahangaike nayo usiku kucha,akisha choka unamwambia "toka mshamba wewe"
Uko poa lkn?
 
Yani uko behind the bars, tena labda bila hatia, unaanzia wapi kuwaza masuala ya kugegeda? Labda uwe na pepo
 
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…