Mkubwa na wanawe hongereni kwa kuutendea haki muziki wa kibongo

Mkubwa na wanawe hongereni kwa kuutendea haki muziki wa kibongo

Yeah. Nyimbo zao nyingi ziko kimaadili. Wasije nao wakaanza kuharibu na kuimba mitusi kama Mitego...
 
Nawakuaali pia, ila wasijeingia kwenye bongo fleva. Naona wanaelekea huko kwa kasi
 
Back
Top Bottom