Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Ma-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na MkuchikaMkuchika anaongea tu hana meno! Unakumbuka alikataza Ma-DC na RC kuwaweka watu ndani? Lakini to date huu upuuzi unaendelea
Mbona kama vile umepaniki? Si utafute uweke humu? Malumbano ya nini? Mkuchika alisema na alinukuu sharia, kuwa MTU anawekwa ndani tu pale inapothibitika kuwa akiachwa uraiani ataleta madhara au tuseme atahatarisha usalama, sasa wewe nambie, yule Dogo wa Arusha ambaye alikiri kuwaweka ndani maofisa wake hasa Walimu na watendaji pasi kuwasikiliza walisababisha uvunjifu gani wa amani? Usijibu kwa kukurupuka na usitetee ujingaMa-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na Mkuchika
Kama alisema hiki ulichosema hapa, kwa Nini mwanzo ulipotosha alisema watu wasiwekwe ndani? Ulitakiwa ku-specify na si ku-generalise kama ulivyofanya.Mbona kama vile umepaniki? Si utafute uweke humu? Malumbano ya nini? Mkuchika alisema na alinukuu sharia, kuwa MTU anawekwa ndani tu pale inapothibitika kuwa akiachwa uraiani ataleta madhara au tuseme atahatarisha usalama, sasa wewe nambie, yule Dogo wa Arusha ambaye alikiri kuwaweka ndani maofisa wake hasa Walimu na watendaji pasi kuwasikiliza walisababisha uvunjifu gani wa amani? Usijibu kwa kukurupuka na usitetee ujinga
Duh! Huwa sipendi kubishana! Sio lazima uelewe kila kitu! Vingine waachie wengine wajibu ndugu! Maana kama vile unataka kuleta ligi! Labda wewe uliposema wanawaweka watu ndani kwa mujibu wa sharia, ulipotosha au ulikua sahihi.???Kama alisema hiki ulichosema hapa, kwa Nini mwanzo ulipotosha alisema watu wasiwekwe ndani? Ulitakiwa ku-specify na si ku-generalise kama ulivyofanya.
Usipotoshe ukweli huku ukijua uhalisia ulivyoDuh! Huwa sipendi kubishana! Sio lazima uelewe kila kitu! Vingine waachie wengine wajibu ndugu! Maana kama vile unataka kuleta ligi! Labda wewe uliposema wanawaweka watu ndani kwa mujibu wa sharia, ulipotosha au ulikua sahihi.???
Ndugu yangu naona wewe ni mjinga wa hiyo shetia ya MaRC na maDC kuwaweka watu ndani kwa masaa yasiyozidi masaa 48. Wanaruhusiwa kufanya hivyo kwa condition maalum. Siyo kwa namna ya hovyo hovyp kama wanavyofanya sasa hivi.Ma-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na Mkuchika
Afadhali mjibu weweNdugu yangu naona wewe ni mjinga wa hiyo shetia ya MaRC na maDC kuwaweka watu ndani kwa masaa yasiyozidi masaa 48. Wanaruhusiwa kufanya hivyo kwa condition maalum. Siyo kwa namna ya hovyo hovyp kama wanavyofanya sasa hivi.
Jifunze kufanya utafiti na uchambuzi kabla ya kuongea au kuandika ,hili litakusaidia kuepuka kupotosha ukweli na uhalisia. Sheria hiyo Mimi naifahamu na ninafahamu mazingira yote sheria hiyo inapotakiwa kutumika na waziri Mkuchika alipotoa agizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya nilimsikiliza na kumuelewa, mwanaJF anayeitwa Elli hapo juu alii-generalize kauli ya mhe.waziri na kuonekana kaipotosha kwamba mhe. Waziri aliagiza wakuu wa wilaya na mikoa wasiweke watu ndani.Ndugu yangu naona wewe ni mjinga wa hiyo shetia ya MaRC na maDC kuwaweka watu ndani kwa masaa yasiyozidi masaa 48. Wanaruhusiwa kufanya hivyo kwa condition maalum. Siyo kwa namna ya hovyo hovyp kama wanavyofanya sasa hivi.
Narudia tena , upotoshaji wa makusudi sio mzuri, hiyo ni sawa na fitina, uzandikiAfadhali mjibu wewe
Damu ya lissu itakunukia daimawatu wamesha jeruhiwa ndio mnasema leo?
Huwa sibishaniNarudia tena , upotoshaji wa makusudi sio mzuri, hiyo ni sawa na fitina, uzandiki
Kauli njema hujenga na kuelimisha wasioelewa. Hakuna sababu ya kufoka kwa mtu asiyejua bali kumpa elimu.Mbona kama vile umepaniki? Si utafute uweke humu? Malumbano ya nini? Mkuchika alisema na alinukuu sharia, kuwa MTU anawekwa ndani tu pale inapothibitika kuwa akiachwa uraiani ataleta madhara au tuseme atahatarisha usalama, sasa wewe nambie, yule Dogo wa Arusha ambaye alikiri kuwaweka ndani maofisa wake hasa Walimu na watendaji pasi kuwasikiliza walisababisha uvunjifu gani wa amani? Usijibu kwa kukurupuka na usitetee ujinga
Watu wengine wapo kazini, kuvuruga hoja. Point yako kubwa imeeleweka, hawa wateule wa rais hasa hasa ma DC na RC, hawaheshimu kauli za mawaziri. Hili la kufungia watu ndani linapaswa kuwa exception, lakini siku hizi wanafanya kama fashion. Lakini onyo la waziri wala halikusikilizwa. Swali na hili litakuwaje?Huwa sibishani