Elections 2010 Mkuchika apita kura za maoni

Elections 2010 Mkuchika apita kura za maoni

Smiles

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
1,231
Reaction score
107

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Huruma Mkuchika, amepita katika kura za maoni

-------

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Huruma Mkuchika, amepita katika kura za maoni na kuwatupa wapinzani wake wawili Juma Abdalah SadicManguya na Rashid Akibar Namwangala katika kura za maoni ya kutafuta Mgombea Ubunge wa Jimbo la Newala kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 31 2010 nchini kote.


Matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu wa CCM Newala ambaye ndiye Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi huo Alexandria Katabi, alisema Mkuchika amepata kura 9,648, Akibar 6,595 na Manguya 5,341.

2zyg9x1.jpg


 
Back
Top Bottom