Allaaaah ACHA BANA AKICHELEWA NDEGE IMNGOJE KISA SIMBA EEH..AISEE KUNA DEPKwa nini alichelewa ndege?
Ushamba wa kutopanda ndege na kutokuzingatia mda?
Au ni hujuma kwa kushirikiana na watu wa njano?
Kwa nini alichelewa ndege?
Ushamba wa kutopanda ndege na kutokuzingatia mda?
Au ni hujuma kwa kushirikiana na watu wa njano?
Huyo kwa upande ule wa siasa ni pacha wako mkisapoti upumbavu . Sasa hata huku kwenye michezo naona uwezo wenu wa hovyo kabisa!!!Wabongo wamezaliwa na roho ya Fitna , uchonganishi na uzushi
Wee,koma kabisa!Mm ni CCM na Yanga damu!Huyo kwa upande ule wa siasa ni pacha wako mkisapoti upumbavu . Sasa hata huku kwenye michezo naona uwezo wenu wa hovyo kabisa!!!
Simba ni timu tu ya kawaida, sema promo nyingi sana, na lazima wapoteze points ndio michezo ilivyo.
Hata kama!! Hukutakiwa kumhusisha Mkude na draw ya Simba huko Shy. Mkude ni mchezaji tena kama sijakosea ni beki na kiungo. Sasa timu ya bil 1.7 lazima kuwe na mpango mbadala, kama mchezaji moja ana dharura!!Wee,koma kabisa!Mm ni CCM na Yanga damu!
Ndio maana hamna maendeleo hongo watu mnawaza uchawii tu.Wabongo wamezaliwa na roho ya Fitna , uchonganishi na uzushi
Umesema waziri? Sio kwa Tanzania hii na ATCL yakeAllaaaah ACHA BANA AKICHELEWA NDEGE IMNGOJE KISA SIMBA EEH..AISEE KUNA DEP
TIME .BOARDING TIME.NA COUNTER CLSN TIME
HIZI USIPOZIHESHIMU HATA AJE WAZIRI HAKUNAGA HIOO UTAPANDA NEXTY AVAILLABLE FLIGHT NAF...