Mkude ana nyota ya Kisinda

Mkude ana nyota ya Kisinda

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini

Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane alikuja Yanga.

Kila mtu akaongea yakee baana imetoshasasaà arudi alipotoka.

Kisinda anacheza final ya shirikisho sijui lini haya ndio mafanikio yanahitajika kwa wachezaji.

Kazi kwenu Chamà sijui kiburi endeleen kungangania timu isiyo na mafanikio. Well done, mkude.
 
Aliitwa mlevi mpaka wakataka kumpeleka muhimbili leo kawaumbua
 
Back
Top Bottom