denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kiungo mahiri wa Simba SC Jonas Mkude leo amerwjea mazoezini tayari kujiunga na wenzake kwa kambi ya Morocco.
Mchezaji huyo aliekuwa na kesi ya utovu wa nidhamu haijajulikana kama alisamehewa na uongozi wake au kesi yake bado inaendelea ambapo alitakiwa akapimwe hospitali kabla ya hukumu dhidi yake.