Mkude arejea mazoezini Simba SC

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Kiungo mahiri wa Simba SC Jonas Mkude leo amerwjea mazoezini tayari kujiunga na wenzake kwa kambi ya Morocco.

Mchezaji huyo aliekuwa na kesi ya utovu wa nidhamu haijajulikana kama alisamehewa na uongozi wake au kesi yake bado inaendelea ambapo alitakiwa akapimwe hospitali kabla ya hukumu dhidi yake.
 
Nimeshamkalisha chini pia Demu wake Mmoja ( Goma lake ) aliyempangia Kawe jirani na 'Fensi' za Jeshini Lugalo apunguze mno kumpitisha "Dogo' barabara ya kwa Mpalange Yombo Buza.
 
Aruhusiwe tu kurudi kundini. Maana safari hii amekuwa na adabu, amewahi kujiunga kambini mapema.

Mkude ni mchezaji pekee mwenye damu halisi ya Simba aliyebaki kikosini. Alianzia timu ya vijana na akistahafu Soka asomeshwe ukocha ili akabidhiwe Simba Queens na akitaka kuchumbia hapo Simba Queens aruhusiwe tu bila mashart.
 
Nimeshamkalisha chini pia Demu wake Mmoja ( Goma lake ) aliyempangia Kawe jirani na 'Fensi' za Jeshini Lugalo apunguze mno kumpitisha "Dogo' barabara ya kwa Mpalange Yombo Buza.
duh!.
 
Nimeshamkalisha chini pia Demu wake Mmoja ( Goma lake ) aliyempangia Kawe jirani na 'Fensi' za Jeshini Lugalo apunguze mno kumpitisha "Dogo' barabara ya kwa Mpalange Yombo Buza.
Wapi nyieeee mkude hajaanza leo utata hamna cha kumfanya mnampa onyo siku mbili tatu anarudi anafanya tena yaleyale anajua hamuwezi kumfanya chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…