Mkude sasa yuko fit, arejea uwanjani na kuanza kujifua na wenzake sauz

Mkude sasa yuko fit, arejea uwanjani na kuanza kujifua na wenzake sauz

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
mkude gym.JPG

Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameungana na wachezaji wenzake na kufanya nao mazoezi pamoja nchini Afrika Kusini.

Mkude alikuwa akifanya mazoeiz pekee taratibu lakini kuanzia leo ameanza mazoezi na wenzake.
Simba imeweka kambi jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa 2017-18.

“Nimeanza mazoezi na wenzangu na sasa tunaendelea na mazoezi pamoja kujiandaa na msimu mpya,” alisema.
 
Back
Top Bottom