msulupwete
Senior Member
- Dec 9, 2013
- 155
- 59
Kitaaluma ni mkufunzi na nina umri wa 30 years, nahitaji mwanamke aliyetayari kuishi nami kwenye shida na raha atleast awe na 23 years and above .Kigezo kikubwa awe mpole mstaarabu .Uzuri ni kazi ya maulana tutavumiliana.