Kitaaluma ni mkufunzi na nina umri wa 30 years, nahitaji mwanamke aliyetayari kuishi nami kwenye shida na raha atleast awe na 23 years and above .Kigezo kikubwa awe mpole mstaarabu .Uzuri ni kazi ya maulana tutavumiliana.
Mkuu mimi ninavyojua walimu wengi ni wanawake, ina maana hao unaowafundisha wote huko chuoni hujapata hata mmoja?? kama ni kweli basi kuna tatizo somewhere.
Mkuu mimi ninavyojua walimu wengi ni wanawake, ina maana hao unaowafundisha wote huko chuoni hujapata hata mmoja?? kama ni kweli basi kuna tatizo somewhere.