MKUKUTA Phase I: Maoni yako


WOS & OTHERS--ELIMU BORA KWANZA. Vinginevyo MKUKUTA II utakuwa ngonjera nyingine. Kwangu mimi 60% ya Gharama ya MKUKUTA wowote ule iende kwenye ELimu. NA PIA KATIKA MKUKUTA II Televisheni ienezwe mpaka vijijini na itumike kama njia kuu ya kutoa elimu husika kwa Wakulima na Watanzania wengine walio nje ya mfumo wa elimu kwa sasa. Bajeti ya Shilingi bilioni 30 kila mwaka itatusaidia sana katika kutumia Televisheni kama ZANA KUU YA KUWAELIMISHA WATANZANIA. Hebu jaribuni kufikiria impact yake kama haya majadiliano yote hapa JF kama pia yangekuwa yanapatikana kwa Watanzania kupitia Televisheni?
 

MKUKUTA II. Kama utakuwa na Clusters tatu pia, basi hizo Clusters ziwe

CLUSTER I: ELIMU BORA YA SAYANSI na TEKNOLOJIA

CLUSTER II: ELIMU BORA ya MSINGI, UFUNDI, SEKONDARI na ya CHUO KIKUU

CLUSTER III: WAKULIMA KWANZA.
 
Wenzenu washaanda Mkukuta II ninyi bado mnajadili Mkukuta I!
NDIO MAANA tuaangalia gaps kwenye MKUKUTA I maana MKUKUTA II utaangalia kujaza gaps nasio mambo mapya!
Ukileta mapya kabisa u will miss the boat by far!
 
Mwanakijiji maoni ya Mkukuta I yashatolewa, yaliyopokelewa yashapokelewa na yaliyowekwa kapuni yashawekwa kapuni - wenzenu wanamalizia Mkukuta II na nasikia ule mhimili wa utawala bora na uwajibikaji washautoa eti uko ndani ya mihimili mingine!

Huu ni upotoshaji jamani. Mihimili yote mitatu ipo!
 

Hiki ndicho kinachotakiwa... mapendekezo na siyo critiques ambazo hazitasaidia ...miaka 5 ambapo MKUKUTA I ulitekelezwa kilikuwa kipindi tosha cha ku critique. Tatizo letu watz ni kutokupenda kufuatilia kujua kuna nini kinaendelea.
Nawakaribisha mtafute MKUKUTA ANNUAL IMPLEMENTATION REPORTS - hizi hutolewa kila mwaka na zinapataka katika website ukigoogle Mkukuta utaziona zote.Hapa tunapata taarifa za utekelezaji na mapungufu yake.
 
Wenzenu washaanda Mkukuta II ninyi bado mnajadili Mkukuta I!

Kwa maoni yangu bila kujua mafanikio na mapungufu ya MKUKUTA 1 basi mafanikio ya MKUKUTA II yanaweza kuwa ni madogo sana.
 
Huu ni upotoshaji jamani. Mihimili yote mitatu ipo!

Thibitisha kwa kuweka rasimu ya Mkukuta II! Mimi sielewi mnajadili nini wakati wenzenu wako kwenye Mchakato wa kupitisha Mkukuta II. Mkukuta I sasa ni Historia! Au mnataka baadae muudanganye umma kwa kudai kuwa wadau waliujadili JF - mnaujadili wakati muda wa kuhakiki Mkukuta I umeshapita!
 
Thibitisha kwa kuweka rasimu ya Mkukuta II! Mimi sielewei mnajadili nini wakati wenzenu wako kwenye Mchakato wa kupitisha Mkukuta II. Mkukuta I sasa ni Historia!
My friend..hebu twende taratibu tuelewane kwanza.
1. hii mada niliianza mwaka jana hata kabla ya MKUKUTA II Drafting process
2. Majadiliano yakadorora - jana nikaifufua mada baada ya kuona kuwa sasa kuna process ya drafting ya MKUKUTA II.
3. Kwa vile sasa kuna window ya stakeholders' views na hata matangazo kwenye vyombo vya habari yanaita wananchi wapeleke maoni kupitia e-mail : mkukutamonitoring@gmail, nikaona tusipoteze opportunity.
3.JF tumezoea kuongea tu lakini inapofikia kufanya vitu kila mtu ana back-off!
5. Kwamba drafting ya MKUKUTA II imekamilika - si kweli.Prove me worng!

kwamba nikuwekee MKUKUTA II Draft hapa- hilo siwezi maana mimi siyo drafter bali ni mwananchi mdau kama wewe tu ila nimekuwa pro-active kutafuta nini kinaendelea na kupenda kushiriki kuliko kukaa kando na kusubiri kuja kulalamika.
 
Nawatakia majadiliano mema. Mtaniambia kama mawazo yenu yamo. Siku Mkukuta II itakapozinduliwa rasmi.
 
Can we rename it MKUKUFA? Meaning Mkakati wa Kupunguza Umaskini na Kufufua Uchumi Wa Familia....

To me it will be more significant involving family level in poverty reduction and wealth creation.
 
What is this Mkukuta stuff?
Its the stuff that will guide you to put your money where your mouth is as opposed to putting your mouth where your money is lol.
Just read the thread starter and my subsequent posts..halafu google you will see its elaboration.
 
Njia nzuri ya kuutathmini MKUKUTA ni kutumia taarifa rasmi za serikali na tafiti mbalimbali zilizofanywa kuhusiana na malengo ya mkakati huu. Kwanza ningependa kuwakumbusha ya kwamba MKUKUTA ni mwendelezo wa zile Poverty Reduction Strategy Papers zilizotakiwa kwa ajili ya misamaha na unafuu wa madeni kutoka kwa nchi washirika wa Paris Club.

Taarifa za kutusaidia kutoa maoni zipo nyingi tu kuanzia taarifa za mfumuko wa bei za NBS, hali ya uchumi ya mwaka (sasa zipo kwa kila robo mwaka mpaka 2009 Q1), taarifa za mwenendo wa uchumi kutoka BoT, PHDRs, ILFS, THMIS, DHS 2004 and 2009 (wakijisikia kuitoa), Household Budget Survey ya 2007, VoP 2007 etc.
 

Pia Kuna APRM, MAIRs,
Kuna michakato pia kama PAFs,PEPFAR,PERs n.k
 
Pia Kuna APRM, MAIRs,
Kuna michakato pia kama PAFs,PEPFAR,PERs n.k

Wasaidie baadhi kung'amua hivyo vifupisho, kwa kuanzia tu:

MAIR = MKUKUTA Annual Implementation Report

APRM = Afro Peer Review Mechanism (Yule Prof wao mwenye kuweka fedha za mradi katika akaunti binafsi yu wapi?)

PAF = Performance Assessment Frameworks

PEPFAR = Ile ya Ukimwi?

PERs = Public Expenditure Reviews

MTEF = Medium Term Expenditure Framework


Hizi taarifa watu wanaweza wakazi "Google" tu na watazipata.


Naomba kutoa rai kwamba ni vyema wananchi wakachangamka na kutoa maoni, tathmini na mawazo yao ili ingawa ya kwamba sio yote yatachukuliwa basi na wao watakuwa wameshiriki katika kujaribu kujenga taifa hili kwa fikra thabiti na si lawama tu kila wakati.


Better late than never compadres
 

PATPENDING..Sijui ulikuwa wapi siku zote jamani maana naona wewe unaelewa haswa nini naongelea hapa. Watanzania tusiwe watazamaji tu!
Hiyo PEPFAR ni ile ya UKIMWI-President's Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) ya wamarekani
Ila nilimaanisha PEFAR
 
Its the stuff that will guide you to put your money where your mouth is as opposed to putting your mouth where your money is lol.
Just read the thread starter and my subsequent posts..halafu google you will see its elaboration.

Oh thank you very much miss lady.
 
Mnajua si kwamba poeple want to be negative or criticals all the time bali in a sense you give them little options to be anything more. Hii MKUKUTA aiko short of policies if you ask me, yaani ime-cover most of our problems sasa i dont know what else need be added.

Tatizo sio policies zao au mapendekezo yao ambazo mmezileta hapa so far, tatizo ni utekelezaji wake. Instead of kukurupuka kuweka new policies labda wajiulize what was successful, what failed, why they failed and what needs to be done to make it a success.

Hayo yote ni mapendekezo tu MKUKUTA iliyoyaleta, hila ina cost money to implement any of those policies tena a hell lot of it, ndio hapo ninapo jiuliza is it worth adding any more.

Its time waanze ku-set priorities wajue what comes first in terms of priorities, yaani ni zipi zita muwezesha mlalahoi aweze jiinua. Sasa hapa aina maana ya kujenga barara za lami sehemu ambazo azina magari au basi linaenda kwa wiki mara moja. Hila it would make sense kujenga hata ka dispensary kuweza kuwapatia huduma za kila siku waweze kuwa active kwenye kujisaidia.

Instead of kwenda kukazana kuwafundisha kulima watu ambao wanakaa sehemu zenye ukame ni bora ku-incourage entrepreneurship ya miradi midogo midogo you get the idea.

Hita make a lot of sense if MKUKUTA concentrated on two main priorities ikiwa ni Elimu na Afya na ndipo hapo najiuliza au some of us tunaona ni hadithi hizi. These things are not cheap na vina cost hela.

Kufundisha uanhitaji walimu wengi, kwa sasa kwa jinsi tunavyosoma humu JF currently inaoneka kuna uhaba na shule zenyewe za chini ya mibuyu god knows how you'd educated the masses. Not to mention the quality offered kwa majibu tuliyoyaona ya kidato cha nne na bado kuna wale dropouts hii pekee ni task ya miaka kui-sort.

Kuanza ku-train new teachers, kujenga mashule, kuwapatia vitabu ma-library, kuwapa ajira baadhi ya wazazi wasiojiweza kununua hata hizo Uniform na vitu vyote vinavyo ambatana.

Sasa ukirudi kwenye Afya kuna watu gani wanaitajika hao proffesionals are not easy to train hili waweze tosha kwenye society, ma hospitali hayatoshi wagonjwa inabidi wawekwe chin hata mbele ya mgeni wa Kimataifa. Bado mnataka kuulizia new policies na matakwa yake.

Its all a joke na bado hatujaenda kuangalia policies zenu zingine, this is expensive hivyo its time waangalie realistic goals na wajipange vizuri na pengine waanze kuamisha baadhi ya wafanyakazi wa serikali sehemu zingine ambao wako kwenye pay roll in other sectors it is a mammoth asking kama tunaangalia ukweli. Sasa hapa watu si kuwa negative bali ndio ukweli wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…