Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto
====
Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda usiku? viongozi wa eneo husika walikuwa hawajui mpaka wanafanya michezo ya kuviziana?

 
Hii nchi inaviongozi wasio na busara kabisa.
Huu ni unyanyasaji mkubwa kwa huyu mkulima, hadi anaandaa shamba na kupanda mazao yanaota sijui hata mtendaji wa kijiji hakuona??
Anyways, hapa DC alitakiwa kutumia busara ya kawaida kabisa kwamba huyo mkulima avune kisha asirudie tena kulima eneo hilo
 
Back
Top Bottom