Viongozi wetu mmmh hakuna mkulima hata mmoja mwenye stock!! Hapa wafanyabiashara watatajirika sana,hata mahindi yaliyo kwa godown za serikali wafanyabiashara ndio watanunua na kuwauzia wakulima...Mheshima Rais wa JMT amesema jambo jema kuwa hataingilia bei ya mazao ya wakulima wanyonge na kuwachombeza kuwa sasa ndio wakati wa kuwalangua wale wasiolima. Hofu yangu ni kuwa waliona mahindi sasa ni walanguguzi ambao waliyanunua zamani kwa shs 270/- kwa kilo toka kwa wakulima miezi 4 iliyopita na sasa wanawauzia wakulima walioyalima kwa 900/= kwa kilo.
Na usije shangaa mawaziri ndio wakawahi hiyo akiba ya serikali na kuuanza kutuuzia( rejea ya Dr. Kebwe!)Viongozi wetu mmmh hakuna mkulima hata mmoja mwenye stock!! Hapa wafanyabiashara watatajirika sana,hata mahindi yaliyo kwa godown za serikali wafanyabiashara ndio watanunua na kuwauzia wakulima...
Ndugu yangu Kama umeamua kuwa mshangiliaji Basi uwe unajielimisha kidogooo kuhusu mada unayotaka kushangilia!Wakulima wathamini mazao yao
Wawe wanayahifadhi kwenye maghala ya serkali