Plot4Sale Mkulima njoo hapa nikuuzie shamba la mbogamboga

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..

Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei milion kumi na tano. Liko Vikindu.
PM for more information.

Note : Mimi sio dalali, eneo ni letu
IMG_20180525_131315.jpg
 
Heka moja mil 15???? Shamba ??? Subiri utawala wa kikwete ndo uuze hiyo bei..... Ahsante
 
Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..

Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei milion kumi na tano. Liko Vikindu.
PM for more information.

Note : Mimi sio dalali, eneo ni letu
View attachment 785852
na mboga zikiwemo?

hapo nimesimamisha greenhouse ya kisasa kwa hiyo bei afu nakula zangu mafao tu
 
Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..

Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei milion kumi na tano. Liko Vikindu.
PM for more information.

Note : Mimi sio dalali, eneo ni letu
View attachment 785852
Unauza shamba unauza kiwanja mkuu? 15Mil !! Wakati yapo mpaka ya laki mbili watu wanauza
 
Back
Top Bottom