na mboga zikiwemo?Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..
Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei milion kumi na tano. Liko Vikindu.
PM for more information.
Note : Mimi sio dalali, eneo ni letu
View attachment 785852
Unauza shamba unauza kiwanja mkuu? 15Mil !! Wakati yapo mpaka ya laki mbili watu wanauzaKama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..