GE2025 Mkulima: Tukicheza na Amani tutavuna maumivu mazito na hakuna atakayebaki salama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Haya mkulima! Hodari
================
“Tukicheza na Amani tutavuna maumivu mazito na hakuna atakayebaki salama, tusishawishike, tusirubuniwe, hakuna mbadala wa amani yetu, amani yetu ni tunu. Sote tunapaswa kuilinda kwa wivu mkubwa “-Mkulima kutoka Mwanza.

Your browser is not able to display this video.
 
Amani bila haki ni kazi bure. Wapeni watu haki zao na hakutakuwa na haja ya kuhubiri Amani- Period
 
wanaogopa mabadiliko ni wale walioshiba wanaogopa kupoteza walivyo navyo Lakin maskini hawezi kuogopa mabadiliko by JK Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…