Mkullo kamdesa Kikwete?

Neither Kikwete nor Mkullo is known for scholarship and the upholding of high standards of integrity.One can say no current national leader can pass the above test.

But the issue Mwanakijiji raise depicts the lack of commitment on the part of both or either the presidency / ministry of finance to avail themselves to the tackling of a very low bar, that of coming with two speeches that are thematically and statistically similar, but yet with each maintaining an authentic originality, hallmarking distinctiveness, giving people a reason to go through the ordeal of the good, the bad the ugly and the truly vogonic ambiguous bureaucratspeak that would make a snake's oil salesman sound like mother Theresa.

All I see is the hubris increasing, my bullshit detector (a.k.a BS Geiger-Müller counter) is pitching high.These jokers are stealing from us, OK, we admit they are stealing, they can;t even steal and put up a good show! Talk about eating with the blind.

Juvenal would say... oh by now you should know the ancient Roman poet and his pre-Machiavelli Machiavellian touting of the virtues ofusing bread and circuses to keep the Romans from focusing on the affairs of government.

Tanzanians are not only shortchanged in not getting any bread, it appears even the circus is a stale humdrum litany of less than substandard strung up laundry lists of jumbled statistics and coughed up deceptive doublespeak passing for a budget.
 
Wakati wew unamuuliza Kang, wikipedia na dictionary havikuwepo?
Mipasho mipasho mipasho, halafu?



Wajameni!!

M.Mwanakijiji, Kang na ZeMarcopolo!!

Hotuba ya Matonya na ile ya Mkullo ni ilele!! Matonya alipewa summary akwachambulia wazee wa Kigogo ambao hawangeweza kumuuliza maswali kwani si walipewa soda!!

Hakuna sababu ya kubishania maneno ya kuazama kudesa ingetosha tu kuelewana... Misimamo ya ZeMarcopolo na Kang hapa jamvini twaijua ni the same people who can only seen the green colour period!!! Watabisha mpaka asubuhi without substance!!!

The bottom line ni kwamba budget ni ile ile tuliyozoea...Wabunge na mawaziri hovyo watapita kuifuatilia kule Nachingwea ili wafidie ufupi wa bunge la budget !! Yes si siku zimepunguzwa you know why!!! The coffers are empty !! Kama Matonya angepunguza misafara ya kikwere London ,Paris na New york etc...etc..the money could have been enough kupeleka malumbano ya kipuuzi ya wabunge hadi August 15th!!

As long as amekimbilia kwanye mvinyo sigara na mobile phones na kufuta misamaha ya kodi kwa mashirika ya dini it is the same old story...

Ushauri wangu let Mkullo ani PM nimfundishe yeye na Matonya what type of kodi to collect!!! Waache mdumange hapa!! kwani gongo si ni pombe haramu!!!!
 
Hapa nimempata MKJJ..
Maana ya plagiarism ni km below
-A piece of writing that has been copied from someone else and is presented as being your own work
-The act of plagiarizing; taking someone's words or ideas as if they were your own
So wale wanaobisha tatizo sio facts za namba..ofcourse km kuna bomu limelipuka wakafa watu 10. basi kila mmoja atatamka hiyo namba 10..tatizo litakuja kwenye muundo wa maneno yatakayotamkwa au kuandikwa..
Maneno yakiwa one to one, mpaka mkato na nukta...then hilo linaqualify kuwa desa...Kilichotumika hapo ni copy and paste.
So swali nani kadesa kwa mwenzie....??? Hapo inawezekana kama alivyosema WOS, aliyeandika hotuba ya JK na Mkullo ni mtu mmoja. Viongozi wao ujuzi wao ni kuisoma tu...na kuisoma as if ni maneno yao ya moyoni
 
Si ndio maana walisema kuwa mkutano wa Kikwete ni kwa ajili ya kusafisha njia ya bajeti ya 2009/10? Hata Mkullo, alikiri mara baada ya hotuba ya Kikwete, kuwa amerahisishiwa sana kwenye uwakilishi wa bajeti yake mwaka huu bungeni.
 


umetoa definition hasa ya plagiarism. Tatizo haliko katika mwandishi wa hotuba ni nani; tatizo liko mmoja aliitoa kama maneno yake (kikwete) na mwingine akairudia kama maneno yake bila kukiri kuwa hayo hayakuwa maneno yake (Mkullo). Kwa vile maneno ya awali yalitamkwa na Rais bila kukiri kuwa anainukuu hotuba ya bajeti (ambayo haijatolewa) basi maneno yaliyotolewa ni ya Kikwete (siyo mwandishi wa hotuba!).

Kwa mantiki hiyo wakati Mkullo anarudia maneno yale yale bila kuonesha kuwa anainukuu hotuba ya Rais basi alitaka watu waamini kuwa hayo ni maneno yake. Kama hili ni kweli, je siyo kudesa?
 
That is not plagiarism since as they are working together. What Mkullo did is to corroborate what the president tabled.
 
That is not plagiarism since as they are working together. What Mkullo did is to corroborate what the president tabled.

wanafunzi wawili ambao wanashirikiana kuandika ripoti hawatakiwi kuandika ripoti ambayo ina fanana neno kwa neno! (nzima au sehemu yake). Duh!..
 
Nafahamu hilo na ni wazi kuwa waandishi watakuwa ni wale wale:

a. Mkullo alipokuwa anatumia maneno yale yale yaliyotumiwa na Kikwete alikuwa anamnukuu kikwete au alitaka yajulikane kama ni maneno yake?

Mkullo ndie alieandaa bajeti (Wizara yake), hivyo ni dhahiri kuwa Rais alipewa bajeti kabla haijasomwa bungeni, nae akaikarabati kidogo kwa ajili ya hotuba yake kwa Wazee na Wabunge siku moja kabla haijasomwa Bungeni.

Isingewezekana kwa Wizara ya Fedha kuandaa bajeti inayoakisiana na maneno ya Rais masaa machache kabla haijasomwa. Kumbuka pia kuwa documents zote za Bajeti zilishafikishwa Bungeni kwa ajili ya kugawiwa.

Ingekuwa Mkullo ameisoma Bajeti yake wiki moja baada ya Rais kuongea na Wazee Dodoma, ningeweza kuamini kuwa Mkullo amedesa kwa Rais.

Lakini vyovyote iwavyo, serikali ni moja na yote yaliyotolewa na Rais kwenye kikao chake na yale yaliyotolewa na Mkullo bungeni ni yao pamoja. Hakuna tofauti yoyote inayotakiwa iwepo kwenye hotuba za viongozi hao wawili. Inasikitisha vile vile kuwa kuna tofauti kidogo za takwimu kwenye hotuba hizo. Hii ingetakiwa pia isiwepo.

b. Mimi nikiamua kuyanukuu nitasema ni maneno hasa ya nani? Kwa sababu kwanza niliyasikia kwa Kikwete ambaye niliamini ni maneno yake.

Ukiamua kuyanukuu unatakiwa useme ni maneno ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kama yalivyotolewa kwenye kikao cha Rais na wazee kule Dodoma na kurudiwa tena na waziri katika Bajeti ya wizara ya Fedha 2009/2010. Nadhani hiyo itakuwa ni kweli na inatosha.

Ninachoweza kukosoa katika hili ni kimoja tu. Nayo ni nia ya Rais kuinukuu Bajeti ya Wizara ya fedha kabla haijafikishwa Bungeni. Rais angeweza kuongea na Wazee wale bila kuingia sana kwenye details za Bajeti inayokusudiwa kusomwa masaa yasiyofikia 24 baadae. Angeweza kuainisha uelewa wake ambao kwa kweli unajitokeza kwenye bajeti, bila kuichambua na kuiweka hadharani kwa kiasi alichofanya. Vinginevyo, Rais angeweza kuongea na wazee wale leo (siku moja baada ya Bajeti kusomwa) ili atoe nafasi kwa Bunge kuisikia kwanza. Hii ingeweza kuondoa mawazo ya kuipigia chapuo bajeti hiyo (japokuwa si mbaya kwake kufanya hivyo) na pia kutoa fursa ya tendo la Kikatiba kutimia.
 
wanafunzi wawili ambao wanashirikiana kuandika ripoti hawatakiwi kuandika ripoti ambayo ina fanana neno kwa neno! (nzima au sehemu yake). Duh!..

Mkuu, sidhani kuwa hawa ni wanafunzi wawili walioko kwenye mashindano ya kuandika report au wanaotakiwa kutoa report tofauti. Hawa wawili ni team moja. Labda ungesema ni group work ambayo ilitakiwa kutolewa na member mmoja, sasa imetolewa na member wawili kwenye group hiyo hiyo. Kwa sababu hizo, si rahisi kuwa watasema mambo tofauti kwasababu wamefikia ugunduzi wao pamoja, kwa nia na lengo moja wanalolijua wao zaidi ya mwingine yeyote.
 
Mkullo alimuogopa Diallo, akamwambia "baba Kikwete huko bungeni kuna mjinga anataka kuvunja bunge tufanye uchaguzi mapema, sasa tufanyeje?"

Baba Kikwete akamjibu "Wewe niachie hiyo kazi, nitakuja kumpiga rungu la dola lililochanganywa na mchafuko wa hali ya uchumi, tutaona atafanya nini.Akijifanya kutoa shilingi ataonekana si mzalendo.Bajeti yenyewe iko wapi?"

Mkullo akamwambia "Hii hapa Mzee"

Kikwete akasema "Mpatie January na vijana wangu waipitie, nitakusafishia njia vizuri tu"

Mkullo akashukuru "Ahsante sana, kuna wachawi wanataka kuharibu kazi"

Kikwete akajibu "Dawa yao inachemka"
 
Kudesa ni kawaida ya viongozi wetu,maana kila kitu tunaiga na matokeo yake hatufiki popote. Sisis kama sisi hatuna viongozi wa kuanzisha jambo wenyewe na likafanya kazi.Utasikia nchi fulani walifanya hivi wakaweza basi na sisi unakuta tunaimpliment bila kujua.Mfano bodi ya mikopo.Inauma saana.
 
Teh.., MKJJ kwani hawa walikuwa ni classmates chuo..!?


Hata mkiwa class mates hamuwezi kuwa mnawaza kitu kimoja kwa suala fulani. Ninafikiri haya mambo ni ya kitaalamu na mengi yalitoka kwa mkulo hivyo hotuba ya Raisi ndio iliyoinakili ya Mkulo na nafikiri hakuna ubaya. Ingekuwaje kama wangekuja na figure zenye tofauti sana? Source ya datas zao ni moja
 
Sitarudia tena kumtaka Shy aache tabia ya plagiarizing. I feel bad and very confused! 😕
 
Kifupi mkwere kachemka sana na hii inaonyesha jinsi gani asivyo mweledi kwenye masuala ya kiitifaki. Kimantiki, kulikuwa hakuna haja na waziri Mkullo kwenda bungeni kusoma bajeti ambayo imekwisha somwa masaa 24 yaliyopita! Huku ni kuwapotezea muda wabunge na wageni wengine waliohudhuria kusomwa kwa "copy ya pili" ya bajeti.

Tukumbuke kuwa hadhara aliyokuwa akiihutubia Muungwana almost wabunge wote walikuwepo, sasa kulikuwa na haja gani ya Mkullo kwenda kurudia kitu kilekile kesho yake?

Hii hainishangazi sana mdanganyika kwa Mkullo kupokwa mamlaka yake (hotuba yake ilikosa mvuto/kitu kipya kwa sababu muungwana alim pre empty", hata Benard Membe ameshazoea kuingiliwa wizarani kwake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…