Mkullo kamdesa Kikwete?


Teh he-he-heh

HAPANA MM; Kikwete ndiye kamdesa Mkullo

Picha moja ilitoka kwenye gazeti la kiingereza kwenye ukurasa wa mwanzo ikionesha viongozi wa serikali wameketi wanasikiliza hotuba ya Kikwete. Mkullo peke yake ndiye aliyekuwa anauchapa usingizi.
 
Halafu kuna watu wanatetea this tragedy, even branding this warrantless redundant misleadership as "teamwork". Siwezi kushangaa kwa nini tunaongozwa na hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…