yaani nimecheka kweli...
hebu muoneni Waziri wetu Kilaza wa fedha
Mkulo ignorant on Deci - Pinda
siasa!
hebu muoneni Waziri wetu Kilaza wa fedha
Mkulo ignorant on Deci - Pinda
siasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nadhani katika hili la DECI alijisahau kuwa ana dhamana ya kusimamia fiscal policies akajikuta azma ya uanasiasa imemtawala.Katika kutimiza uanasiasa wake basi akatetereka.Hapo sijui sasa tumlaumu au tumhurumie tu! Ndiyo mambo ya kuchanganya siasa na technical/professional performance.Mshika mawili.........
Mkuu,WoS....naona unamuonea huruma sana huyu Kilaza wetu
Imagine huyu eti ndiye mtu anayemshauri Rais kuhusu mambo ya UCHUMI.........yaani Mkulo is a JOKER....just watch mambo anayofanya