Mkumbukeni Hayati Magufuli

Mkumbukeni Hayati Magufuli

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania.

Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa tunapoelekea kufanya chaguzi za serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Kila mtanzania kwa sasa ameshaona mateso makali wanayoyapata wananchi kutokana tu na ulegevu, ubinafsi na uzembe wa viongozi wetu.

Mungu atuongoze katika hilo.
 
Anapo kumbukwa Magufuli , iwe ni kuwa kumbuka vilevile akina Ben Saanane ,Kanguye,Katibu wa chadema Anasifu dsm, na hata kunusurika kifo kwa Lissu kwa mvua ya risasi pale Dodoma.
 
Anapo kumbukwa Magufuli , iwe ni kuwa kumbuka vilevile akina Ben Saanane ,Kanguye,Katibu wa chadema Anasifu dsm, na hata kunusurika kifo kwa Lissu kwa mvua ya risasi pale Dodoma.
leta uzi wake wa kumbukizi kwa hao mashujaa wengine,usiwe mnyonge.
 
Mzindakaya amlilia Magufuli
 
Attachments

  • VID-20240317-WA0398.mp4
    3.1 MB
Back
Top Bottom