leta uzi wake wa kumbukizi kwa hao mashujaa wengine,usiwe mnyonge.Anapo kumbukwa Magufuli , iwe ni kuwa kumbuka vilevile akina Ben Saanane ,Kanguye,Katibu wa chadema Anasifu dsm, na hata kunusurika kifo kwa Lissu kwa mvua ya risasi pale Dodoma.
Na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina.Raha ya milele umpe ee bwana