Mkunaji na mkunwaji

Mkunaji na mkunwaji

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
Ndugu wapenzi wa JF, mimi siwezi kujiita mpenzi wa taarabu. Lakini mara moja moja huwa nikikaa nikasikiliza maneno matamu yaliyo katika muziki huu. Jana wakati nasikiliza miziki ya taarabu toka kwetu bongo, niliusikia wimbo wa mwanamama mmoja akitaka asaidiwe fumbo lifuatalo:- MKUNAJI NA MKUNWAJI NI NANI ANAYEPATA RAHA? Nawasilisha hapa wapenzi wa JF tumsaidie huyu mwanamama tafadhali
 
za wakunwaji sizijui...

but wakunaji tunapata raha lol
 
wakunaji twapata raha swadati, wakunwaji naona naona hawapati raha kwani huwa wanalia sana,
mara mhuu, stakiii, dhambi zote za kwakooo,unaniumiza, taratibu .......
 
heli yenu wenye kucha, sie wakoma akhaa!!:A S 103:
 
mkunaji hupata braha zaid mpaka anaweza kupitiliza na kuvunja kucha.
 
Inategemea anaewashwa anawashwa sehem gani, sikila sehemu unahitaji msaada wa kukunwa saingine unajikuna mwenye bana, na raha unaiskia pale ulipo washwa. Kwa mantiki hiyo basi anaewashwa na akakunwa palepale palipo washa ndo ataskia raha, kuna saa mtu unaeza washwa na anae kukuna akakuna pembeni ya pale panapo washa hapo lazima utaweka juhudi zako ukunike na ujiskie, kwani we unae washa ndo unajua muasho uko sehem gani hasa.
 
To be Honest Hakuna raha yoyote sema akili na ubongo wetu wote tumeuelekeza Huko ...hata maneno yenyewe hayana maana.

MIMI SI ENJOY SANAAAA WAKATI WA KUKUNANA ILA NAENJOY SANAAA WAKATI NIMEKAA NA KUTULIA TUKI DO ROMANCE NA KUCHEZA CHEZA TU KUKUNANA SIO SANAAA AHAA YAANI NAENJOY KUWA KARIBU NAYE loh I love my wife!!

YEAH!!
 
Code:
Mkunaji ni yule anae husika na kukuna nazi..
Mkunwaji utakua umekosea kusikia ni mkuniwaji... 
yaani mwenye hio nazi....lol

Hebu jibu swali la msingi ni nani anafaidi?
 
Back
Top Bottom