MKUNDI MOROGORO

MKUNDI MOROGORO

Huku mtaa wa CCT kuna jambo letu! Ole wako uvuke korongo na kuingia hifadhi, wajanja wanakuuzia shamba! Mpaka kiwanja! Ukija kushtuka, Mali asili wanakubomolea!
Sijawahi kuelewa kwanini hawajengi BANGO tofali 20 Tu na kupaka rangi na kutahadharisha UNAINGIA HIFADHI!
 
Back
Top Bottom