Mkungu wa ndizi Mzuzu unabei gani Mkoa Mbeya

BL4

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
69
Reaction score
27
Na hitaji kujua Ndizi Mzuzu zinapatikana mkoa gani kwa wingi
 
Na hitaji kujua Ndizi Mzuzu zinapatikana mkoa gani kwa wingi
Mkuu nipo morogoro aisee kuna ndizi hizo mzuzu nyingi sana bei 2000,3000 ,4000 inategemea na ukubwa ..... morogoro mngeta na mbingu .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…