Mkungu wa ndizi wa Q-Chillah na T.I.D umerudisha heshima ya mziki wetu wa nyumbani

Mimi nimependa pale
Ninayempenda mimi bado hajazaliwa......
Na anavyolalamika mtoto mdogo mdogo kabeba mkungu wa ndizi....daaah!
Teh teh..Mtu akitaka kukupa..Hakuletei barua..Ukupa bila hiyana
 
nifah ni pm bc
 

Ni huu wimbo eeh!
 
Hata mimi nimeusaka kwa mara ya kwanza baada ya kuona uzi hapa. Hii ndio good music ila sisi watu wa bara tunamuelewa zaidi Awilo. Haya mambo ya mduara tunawaachieni nyie bana
 
Naona wamekumbuka enzi zao za madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…