Mkungu wa ndizi wa Q-Chillah na T.I.D umerudisha heshima ya mziki wetu wa nyumbani

Weka audio niffah
 
...kawaida sana!..wimbo wa kuskiza na demu wako ghetto tu!
...Chillah hajamaliza ufundi kabisa!
..mwenyewe anajua!
 
Basi kwa wimbo huu ni haki kiuno kuuma...

Itabidi Video Queen nikupeleke Location siku ya Video teh teh..
Nafurahi kusikia nawe umeuelewa

Hahahahahaaa una hatari wewe?
 
Nafurahi kusikia nawe umeuelewa

Hahahahahaaa una hatari wewe?
Sio hatarii.. Nataka nione mambo yako bila kusimuliwa..

Unajua kwenye complete video kuna vitu vingi vinapunguzwa so staki kuvikosa teh teh
 
Sio hatarii.. Nataka nione mambo yako bila kusimuliwa..

Unajua kwenye complete video kuna vitu vingi vinapunguzwa so staki kuvikosa teh teh
Hahahahahahahaa basi haya homie,na tusubiri.
 
Hahahahahahaaa
Mimi ni super model mkuu,usinijengee picha ambayo siyo.
Hata hivyo hiki kibao kinataka kiuno zaidi kuliko shape.
picha huwa tunazijenga kwa muonekano wa avatar!
Acha ibaki hivyo ilivyo ili iendelee kuninogea,siku moja nitajutumia picha niliyokuchora kutokana na hicho kilemba na hizo lips
 
wimbo mkali,tena kwa anaejua paka chongo ni noma sanaaaa,
hasa pale"mama usinipigie simu kwa sababu ya shemeji"
 
picha huwa tunazijenga kwa muonekano wa avatar!
Acha ibaki hivyo ilivyo ili iendelee kuninogea,siku moja nitajutumia picha niliyokuchora kutokana na hicho kilemba na hizo lips
Hahahahaaa aisee wewe jamaa umenifurahisha sana.
Naisubiri kwa hamu mkuu.
 
wimbo mkali,tena kwa anaejua paka chongo ni noma sanaaaa,
hasa pale"mama usinipigie simu kwa sababu ya shemeji"
Uwiiiiiii mbavu zangu jamani!!!!
 
Umeona eeh?Chillah ameghani kwa kiasi fulani...
Imagine the late Bi. Kidude angekuwa hai akafanya nao collabo kama ile ya Ahmada ya Offside trick ingekuwaje?
Hatari sana.
sipati picha hapo magomeni ikipigwa hii ngoma mnavyokata viuno...kama nakuona hapo ULAYA ULAYA BAR magomeni kagera
 
Kwangu umekua wakawaida sana,lakini ni mimi na muono wangu tu.hongera kwa kufurahishwa na wimbo.
 
sipati picha hapo magomeni ikipigwa hii ngoma mnavyokata viuno...kama nakuona hapo ULAYA ULAYA BAR magomeni kagera
Shemeji achaaaaa,halafu si unajua Chillah ni kijana wa Migomigo tena?
Raha tupu....
Ila umeniacha hoi sana kwa jinsi unavyoifahamu magomeni,nadhani wewe ni mdau wa kwa MACHENI BAR pia....
Hahhahahaaa
 
Kwenye hiko kibao kizima ulichopost mi nimependa hapo ulipoumwa kiuno tu...mhh balaha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…