MKURABITA!!!!!! Mchawi Wa Maendeleo Yako Ni Wewe Mwenyew ( Burning the bridge na Kuamua Kuwa Tajiri)

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!

Episode 3.

Historia ya Burning the bridge concept!!!!!!!!!!!!!!
Wakati wa vita kuu vya pili vya dunia, katika moja ya uwanja wa vita, jeshi la Manazi wa Kijerumani lilikuwa likipambana na jeshi lingine na wakawa wamezidiwa nguvu vibaya mno! Wakaanza kurudi nyuma baada ya kupewa cha mtemakuni! Kamanda wa Manazi wale wa Kijerumani akaona ishakuwa soo, sasa ikambidi afanye maamuzi magumu!

Ili warudi kijiji kinachofuata ilibidi wavuke daraja ambalo chini kuna mto mkbwa na mamba wengi! Sasa kama mjuavyo madaraja mengi miaka hio ya 40 yalikuwa ya mbao! Kamamnda wa Kinazi akafanya maamuzi magumu ya kuliwasha moto kwa bomu daraja! Kisha akatoa angalizo na muongozo.

Hakuna tena daraja wala hakuna jinsi yoyote ya kurudi nyuma zaidi, hapo kinachobidi ni either wapambane waende mbele ama wazembee waje wamalizwe na jeshi lingine wachukuliwe mateka au wajitose mtoni waliwe na mamba! There is only 1 way out! Either take the way or perish! Walipambana hadi wakashinda na kusonga mbele.


Sasa hata sisi wengi wetu kwenye maisha yetu kilicho katikati yetu na mafanikio yetu ni sisi wenyewe na woga wetu ama kurizika. Inatupasa kuburn madaraja yaliyo kati yetu na umasikini wetu na kuamua iwe isiwe siwezi kurudi nilikotoka au kubaki hapa nilipo!!!!!!!!! Period

Burning the bridge inahusisha Kufanya maamuzi magumu ya kudhubutu ama kujitosa mzimamzima bila kugeuka nyuma! Hapa ndipo ugumu ulipo! Na wengi hapa ndipo wanapoishia na ndoto kubakia ndoto bila kutekeleza. You realy need bigger balls here!

1.Upo kazini unasema nitaacha kazi nisimamie biashara kikamilifu ama nisimamie kampuni yangu kikamilifu. Nitaacha! Nitaacha! Mpaka unastaafu. Hukudhubutu kuburn the bridge!

2. Nitaanza mitihani ya bodi, nitaanza nitaanza! Mpaka unazeeka majukumu yanakuzidi ndo basi tena.

3. Nitaanzisha biashara, nitaanzisha nitaanzisha mpakaaaa!!!!!!!! Huanzi chochote!

Wengi wetu hapa ndo shughuli ilipo. Kama umekosa internal force ya kufanya kitu basi tafuta external force iwe kama push!!!!!!! Kama ni mitihani ya bodi funga macho kalipe ada! Trust me utapata tu appettite ya kusoma. Kama ni biashara piga simu kwa dalali akutafutie fremu, kama ni kampuni kaisajili. You have to start some where!

ITS EITHER NOW OR NEVER!!!!!!!!!! Jiulize mara ngapi umeahirisha!!!!!!! What makes you think kama hukuanza jana, kesho utaanza!!!!!!!!!!!

Remember

IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES AND IF YOU DONT GRAB THEM TIGHTLY BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE!!!!!!!!!!!!

Sasa the few chances are wearing down. School tick, Job tick, Good salary tick. Who knows how many chances are left?
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!

Episode 3.
.
.

1.Upo kazini unasema nitaacha kazi nisimamie biashara kikamilifu ama nisimamie kampuni yangu kikamilifu. Nitaacha! Nitaacha! Mpaka unastaafu. Hukudhubutu kuburn the bridge!
.
.

Hapo kwenye blue ndio kwenye 'mtihani'...!!
Maana, mambo yasipoenda vizuri .......
 

Comfort zone inatumaliza

Stay blessed
 
Risk taking is inevitable for those who live to pursue there dreams
 
Hapo kwenye blue ndio kwenye 'mtihani'...!!
Maana, mambo yasipoenda vizuri .......

Mambo yasipoenda viuri ndo uoga wenyewe huo! Unajitosa robo robo mambo yasipoenda unarudi kazini! Mambo hayawezi kwenda kamwe!!!!!!1

Ila ukiacha alafu ukijua huna kazi, na umejishika kwenye uzi either biashara ifanikiwe au utaokota makopo mjini hapa UTAPAMBANA HADI TONE LA MWISHO LA DAMU YAKO!!!!!!! Lazima biashara ifanikiwe!!!!!!!! Usiku usingizi hauji saa Nane uko macho! Ila ukiwa na kazi utaendelea kucheza makida maikda!
 
Ni kweli hili ndilo tatizo letu watanzania wengi hatuna uthubutu'
 
Good challenge Lara1, endelea kutoa somo mpaka kieleweke mwaka huu, ubarikiwe sana dada.
 
Twenzetu ruge na fursa lara 1 na mkurabita,mkukuta,upembuzi yakinifu,usanifu wa kina,mtambuka na mchakato wako mzuri sana unajenga.
 
Last edited by a moderator:

lara 1, I love you very much! for this thread. You completely qualify for single Jazz music!
 
Last edited by a moderator:
Big up lara 1, ila concept hii ndo anaongeaga Chasha kwenye comments zake mbalimbali kuhusu ujasiriamali lakini watu wengi huwa wanashindwa kumuelewa. Ila ndo ukweli wenyewe!
 
I liked the words "ITS EITHER NOW OR NEVER"... you are one in a million I believe!!! Thanks!!!
 
Entrepreneurship ni ishu complicated sana, unahitaji kujitoa vilivyo, safari yake ni ngumu sana na inahitaji uvumilivu wa har ya juu kabisa. Kwenye safari ya ujasiriamali utakumbana na vikwazo vya kila aina, unaweza wapoteza marafiki wako wote, unaweza chukiwa na ndugu na jamaa, unaweza mpoteza mpenzi wako,
So bila kubomoa daraja au kuchoma meli moto hakika hii safari inaweza kuwa ndoto
Unahitajika some time kuto kuonekana mtaani, kuto kujumuika na marafiki zako viwanja, kushindwa some time kumtoa out mpenzi wako, kushindwa kuwatembelea hata wazazi wako kijijini kama ilivyo kuwa mwanzo, kuto kuonekana kwenye baadhi ya function,
 
Wat u say Lara1 makes me want to start stepping bt 'the balls' of burning the bridge ndo mziki
 
This is a Fuc--n good sh-i-t, somo liendelee bado kpnd cha maswali hakijafika... gawa shule!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…