Mkurabita

Mkurabita

Resi

Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
73
Reaction score
17
Habari Members, mimi nina swali/hoja. Kama kuna mtu anayejua kama hawa jamaa wa MKURABITA wanafanya kazi namna gani, naomba mchango wake.
Najua: lengo la MKURABITA ni kuipa thamani ardhi ambayo haijasajiliwa kwa kuipa hati rasmi itakayomwezesha owner kuombea credit katika financial institution.
Swali: Je, kwa uzoefu wenu hii MKURABITA inafanya KAZI KWELI KWA MAFANIKIO?
Wanapoitwa na vijiji, response yao ni ya haraka kiasi gani?
Wanatoza malipo yoyote ili wafanye kazi yao?
N.k.
Tafadhali naomba mchango wenu; nafikiri hili ni swala muhimu kwa raia masikini wa Tz yetu.
 
Back
Top Bottom