ndugu wana jamvi,mimi ni mwalimu,idara ya sekondari wilaya kilosa.nina miaka minne kazini,na tayari nahesabu mwaka wa tano.kitu cha ajabu,wote tulioanza kazi mwaka 2009,hakuna mwalimu hata mmoja alopandishwa daraja.wakati wilaya nyingine,wote wamepanda madaraja.mfano.kilombero,mvomero,kongwa dodoma.kwann kilosa tu! katibu tsd ukimwendea,atakavokujibu,utajuta kwanini ulimwendea.mkurugenzi,na watendaji wako,fuatilianeni suala hili,zaidi ya hapo,wambie ukaguzi wilaya wasilete magari yao kuulizia scheme,lesson plan na mengineyo.nawakilisha