Usimlazimishe mwenzako aamini unachoamini. Yeye anaona kuwa Usalama wa Taifa wapo na wana umuhimu mkubwa kwa taifaMkuu Salary Slip hakuna usalama wa Taifa nchini bali kuna usalama wa Mafisadi. Taifa lenye taasisi ya kusimamia usalama wa Taifa kamwe haliwezi kuwa na madudu kiasi hiki miaka nenda miaka rudi.
Hoja hapa ni kuuzuia na si kila siku ku-deal na matokeo ya ufisadi.Kani si imefikishwa bungeni na ndo maana hayo yametokea? Hivi kila taarifa wanayopata Idara ya Usalama wa Taifa ikipelekwa bungeni nchi itakalika kweli? Mie naamini kuwa hawa jamaa wana taarifa nyingi na nyeti. Maadili ya kazi yao ndo yanayosababisha kuwe na amani wakati wote vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana

Usimlazimishe mwenzako aamini unachoamini. Yeye anaona kuwa Usalama wa Taifa wapo na wana umuhimu mkubwa kwa taifa
Kwa maoni yangu,taarifa zinazohusu uhujumu uchumi na ufisadi zipelekwe bungeni mara moja.Kwani wewe shida yako ni TISS kupeleka hizo taarifa bungeni au taarifa kufika bungeni? Funguka Mkuu ueleweke vinginevyo yaonekana bado upo gizani
Kwani wewe shida yako ni TISS kupeleka hizo taarifa bungeni au taarifa kufika bungeni? Funguka Mkuu ueleweke vinginevyo yaonekana bado upo gizani
Kosa mali uwe na akili lkn hapa ndio unatuambia kua wewe ni juha wa mwishoMkuu Salary Slip hakuna usalama wa Taifa nchini bali kuna usalama wa Mafisadi. Taifa lenye taasisi ya kusimamia usalama wa Taifa kamwe haliwezi kuwa na madudu kiasi hiki miaka nenda miaka rudi.
Huu ni ujinga daraja la kwanza plus...Mimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia.
Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii.
Taarifa zinaweza kwenda Ikulu lakini pia zinaeweza kufikishwa bungeni.Taarifa nyeti na za siri zinaweza kuwekewa utaratibu maalumu.
Tusijali hata kama tutakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na utaratibu kama huu bali tuangalie mazingira ya nchi yetu na hasa aina ya viongozi tulionao.
Ni imani yangu,utaratibu kama huu ungekuwepo,hizi kashifa zisingekuwepo au zisingekuwa za kiwango hiki.
Pia,sheria ibadilishwe ili taasisi hii isiishie kutoa ushauri tu bali iwe na mamlaka ya kuchukua hatua ili iweze kuepusha majanga kama haya ya Escrow.
Sio mkurugenzi tu bali taasisi kama alivyo AgMimi nafikiri wakati umefika Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa awe anawajibika kwa bunge pia.
Taasisi hii kuwajibika kwa raisi pekee si jambo jema kwa ustawi wa nchi hii.
Taarifa zinaweza kwenda Ikulu lakini pia zinaeweza kufikishwa bungeni.Taarifa nyeti na za siri zinaweza kuwekewa utaratibu maalumu.
Tusijali hata kama tutakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na utaratibu kama huu bali tuangalie mazingira ya nchi yetu na hasa aina ya viongozi tulionao.
Ni imani yangu,utaratibu kama huu ungekuwepo,hizi kashifa zisingekuwepo au zisingekuwa za kiwango hiki.
Pia,sheria ibadilishwe ili taasisi hii isiishie kutoa ushauri tu bali iwe na mamlaka ya kuchukua hatua ili iweze kuepusha majanga kama haya ya Escrow.
Kosa mali uwe na akili lkn hapa ndio unatuambia kua wewe ni **** wa mwisho
Una akili fupi sana wewe!Huu ni ujinga daraja la kwanza plus...
Futa wazo ilo mkuu..
Never will happen!!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa geniusUna akili fupi sana wewe!
Umemsikia alichokisema Nape Bungeni jana?Naona Salary Slip unataka kupolitisize shughuli za Idara ya Usalama wa Taifa. Vipi nafasi ya CAG, TAKUKURU na Polisi?