Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafirishaji asimamishwa kazi kwa Ongezeko la Ajali

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafirishaji asimamishwa kazi kwa Ongezeko la Ajali

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
KENYA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA), George Njao, amepewa likizo ya lazima ya siku 30 na bodi ya Shirika hilo kutokana ongezeko la visa vya ajali katika siku 30 zilizopita
-
Taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo,Aden Noor imesema, kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini humo, Wataanza kumsimamisha na kumfutia usajili dereva yeyote atakayebainika kuendesha gari au chombo cha moto chochote kwa namna ambayo ni chanzo cha hatari kwa umma



......,,,,,



NTSA Director General George Njao Suspended Over Rise In Accidents

The Director General of the National Transport and Safety Authority (NTSA), George Njao, has been given a 30-day compulsory leave by the State agency’s board.

Cosmas Ngeso will take over the position as the board, in conjunction with the Ad-hoc committee, launch investigations on the causes of the increasing accident cases in the last 30 days.

The board has also suspended licenses of Public Service Vehicle (PSV) operators involved in the recent accidents this month with immediate effect.


“The Authority shall provide both technological and policy advisory support to the National Police Service to ensure the fulfilment of their mandate regarding the enforcement of traffic laws,” Board Chairperson Aden Noor Ali said in a statement.

“Pursuant to Section 40 of the Traffic Act, the Authority in conjunction with the National Police Service shall commence the suspension, revocation and/or re-testing of any driver who is observed to drive in such a manner as to be a source of danger to the public. For purposes of clarity, this shall include motorists driving in a reckless, careless and/or dangerous manner.”

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom