Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

Yaani hawa majamaa toka ppf yaliajiri ndugu au mademu zao tu katika hao 270.
Tunaomba serikali imuelekeze mkurugenzi mkuu aitishe usaili kwa kutangaza hizo nafasi 270 na watanzania wote wapate fursa ya kuomba wakati huo hao 270 nao wa compete hukohuko wakikosa wakose kwa haki wakipata wapate kwa haki
 
What goes around comes around! Mliwapiga vita akina Dkt Dau mkidai Waislam wamejaa NSSF leo hii mnatafunana wenyewe kwa wenyewe. Dhambi ya ubaguzi haiwezi kumuacha mtu salama. Mliendesha majungu Mwendazake akaifumua NSSF akawajaza nyie wazee wa Jumamosi na Jumapili leo hii na nyie mnaisoma namba. Safi sana!
 

Pitia pia hapa Ndugu Masha
 
Hizo ajira namshauri Mshomba pindi contracts zao zitakapoisha basi nafasi hizo zitangazwe washindanishwe kila mtu ili mwenye uwezo apate haki yake
 
Hakuna cha Dau, nssf ya Dau na nssf ya Erio ni hovyo sana, ni roho mbaya wote hao.

Masha piga kazi usilete usukuma, balance ajira ktk mfuko
 
Nadhani ni wakati wa mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki kwani hadi sasa nssf wameajiri zaidi ya 400 bila kufata taratibu eti wanaajiri ktk mfumo wa contract, sasa watuambie ktk huo mfumo walitumia njia gani kuwapata hao 400?.

Nashauri watangaze hizo kazi na watanzania wote waweze ku apply na ku compete kwenye interview.

Mkurugenzi mpya be careful unaingizwa chaka
 
Mwache tu huyo Mama alishasema anafanya kazi kwa kalamu syo kubwata bwata.

Kama kuna mambo ya kijinga na hawachukui hatua basi kalamu ya mama ii yamngoja
 
Hatimae kilio kimesikika, meneja rasilimali watu aliyehusika na sakata la hizi ajira ametupwa nje, bado yule alotajwa ktk rushwa ndugu SASSI hatma yake tunataka tuisikie
 
Hatimae kilio kimesikika, meneja rasilimali watu aliyehusika na sakata la hizi ajira ametupwa nje, bado yule alotajwa ktk rushwa ndugu SASSI hatma yake tunataka tuisikie
Hewalaaaaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] kifuatacho ni kuitisha usaili kwa wote waliopewa contract ili watu sahihi wapatikane shwaini wakubwa.

Watoto wetu wako mitaani hawana ajira huku wengine wanaajiriwa bila hata kuomba ajira.

Mchengerwa waziri wa utumishi fatilia hili swala huko nssf tafadhali
 
Na iwe hivyo maana utaratibu wa ajira haukufuatwa
 
Na iwe hivyo maana utaratibu wa ajira haukufuatwa
Ajira nssf ni jipu tokea enzi za Dau,
Promotion kwa kutoa chochote kwa MADHRA enzi za Dau iliongoza kwa rushwa ya vyeo,
Huyo HRM aliyeondolewa aliwapa umeneja kanda ya Iringa na Mbeya.
Wengiwe walitoa mlungula kupata Umeneja.
 
Utakuta hao 271 wengi si swala tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…