Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na kwenye treni yao ya reli ya kati.
Kukataa kwake kunaonesha hatuthamini abiria tusio na majina zaidi ya kupokea nauli zetu pendwa, TRC ndio wenye majibu nao hawako tayari kukutana nasi, yote ni kheri.
Kukataa kwake kunaonesha hatuthamini abiria tusio na majina zaidi ya kupokea nauli zetu pendwa, TRC ndio wenye majibu nao hawako tayari kukutana nasi, yote ni kheri.