Siwezi kukaa lisaa lizima sijanywa maji huwa mda mwingi niko na chupa ya majiSafari ya saa tatu makopo ya maji ya nini!?..hakuna huduma ya maji trenini!?
Jamaa ana hoja lakini nyinyi mmeona maji tu!Safari ya saa tatu makopo ya maji ya nini!?..hakuna huduma ya maji trenini!?
Hata huo bado siyo utaratibu mzuri, kwanini nikabidhi silaha yangu ninayoimuliki kihalali? Kwani humo ndani kumeingia jopo la marais?Sio kweli, pale TRC wana utaratibu mzuri kabisa kuhusu silaha. Ukifika utaikabidhi pale kwa ofisi ya Polisi unaandikisha ukifika unakokwenda unakabidhiwa silaha yako labda kama unazungumzia kuingia nayo ndani ya treni
labda trenini maji yanayouzwa buku huku nje, kule ndani buku tano..!! Nasisitiza, LABDA.Safari ya saa tatu makopo ya maji ya nini!?..hakuna huduma ya maji trenini!?
Jamaa wanazinguaSiwezi kukaa lisaa lizima sijanywa maji huwa mda mwingi niko na chupa ya maji
Muache ushamba kidogo
Ukitaka kubeba hayo madude yako,japanese ile nyingine,ile unapanda hata na mbuzi,ungoJamaa ana hoja lakini nyinyi mmeona maji tu!
Kumbuka maji amechukulia kama mfano tu. Huwezi kuniambia nisibebe chakula bali ilitakiwa unizuie kula chakula. Kuzuia kuingia na chakula maana yake ni kwamba sisi wa maporini tusibebee ndugu zetu hata zawadi za mikate, korosho, matunda na asali na tende
Japanese busSiwezi kukaa lisaa lizima sijanywa maji huwa mda mwingi niko na chupa ya maji
Muache ushamba kidogo
Kwenye hili nami naunga mkono hoja ya kuwepo utaratibu wa abiria kusafiri na silaha yake. Inatunzwa sehemu, anapewa wakati wa kushuka.Makatazo mengine yanastaajabisha sana. Mtu unamiliki silaha ya moto kisheria kabisa unataka kusafiri nayo ukifika station hakuna utaratibu wowote wa kukuwezesha kusafiri na silaha yako. Trc wekeni utaratibu kama airport ili tuweze kusafiri na silaha zetu mnatunyima uhuru wa kujilinda.
Kwa Mkapa jua kali unazuiwa kuingia na maji. Ukifika ndani unakutana na machinga wa kutosha na vikopo vingine havina hata chata unauziwa mia mbili nikagundua hii ni miradi ya watuWasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na kwenye treni yao ya reli ya kati.
Kukataa kwake kunaonesha hatuthamini abiria tusio na majina zaidi ya kupokea nauli zetu pendwa, TRC ndio wenye majibu nao hawako tayari kukutana nasi, yote ni kheri.
Mods kichwa isomeke "kuja".
Uzuri kwa Sasa Kuna alternatives, makatazo yakiwa kero, tunahamia kwenye basi, ama ndege, ama Magari binafsi, ana bajiji, ama pikipiki ikishindikana tunatumiwa TZ 11. Kwa maneno mengine siyo lazima wote tupande ndege!Chupa ya maji itaharibu treni! Treni haitengenezwi kwa unga wa ngano kuwa maji yakimwagika yatalainisha mabehewa.
Mzee umeuliza ukaambiwa hamna utaratibu? Mbona upo kama airport jamaa zangu wanapita nazo kwa kuzikabidhi hapo kwa askari wa usalama (polisi) ndani kuna kituo na ukifika mwishi wa safari unaenda kwenye kituo kilichopo station unakabidhiwa kama airport tuMakatazo mengine yanastaajabisha sana. Mtu unamiliki silaha ya moto kisheria kabisa unataka kusafiri nayo ukifika station hakuna utaratibu wowote wa kukuwezesha kusafiri na silaha yako. Trc wekeni utaratibu kama airport ili tuweze kusafiri na silaha zetu mnatunyima uhuru wa kujilinda.
Treni ni mali ya watanzania, kwanini wajitokeze baadhi yetu wajimilikishe treni na kutuwekea masharti yao? Hawa watu hawalipi nauli , wala hawalipi kodi ya pango japo wanafanya biashara ndani ya hiyo treni.Uzuri kwa Sasa Kuna alternatives, makatazo yakiwa kero, tunahamia kwenye basi, ama ndege, ama Magari binafsi, ana bajiji, ama pikipiki ikishindikana tunatumiwa TZ 11. Kwa maneno mengine siyo lazima wote tupande ndege!
Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na kwenye treni yao ya reli ya kati.
Kukataa kwake kunaonesha hatuthamini abiria tusio na majina zaidi ya kupokea nauli zetu pendwa, TRC ndio wenye majibu nao hawako tayari kukutana nasi, yote ni kheri.
Mods kichwa isomeke "kuja".
Ni wazi haujawahi kupanda hiyo treni, kwa taarifa yako watu wanapanda na maboksi au masanduku makubwa sana mpaka unajiuliza kwenye ngazi zinazotembea atalipitishaje! Lakini wanapita na ndani ya treni wanayaweka chini.1. Maji ni Kwa sababu wanauza mle ndani
2. Mifuko mikubwa ni Kwa sababu hakuna sehemu ya kuweka hiyo mifuko mikubwa
Au unataka uweke sehemu ambayo watu wanapita?
Ni wazi haujawahi kupanda hiyo treni, kwa taarifa yako watu wanapanda na maboksi au masanduku makubwa sana mpaka unajiuliza kwenye ngazi zinazotembea atalipitishaje! Lakini wanapita na ndani ya treni wanayaweka chini.
Ni vizuri ukaanza kujua kinachoendelea ndani ya treni kisha uje hapa kutoa maoni yako.
Treni ni mali ya watanzania, kwanini wajitokeze baadhi yetu wajimilikishe treni na kutuwekea masharti yao? Hawa watu hawalipi nauli , wala hawalipi kodi ya pango japo wanafanya biashara ndani ya hiyo treni.
Hata huo bado siyo utaratibu mzuri, kwanini nikabidhi silaha yangu ninayoimuliki kihalali? Kwani humo ndani kumeingia jopo la marais?
Hiyo ni probability tu mkuu na wala haiwezi kuwa sababu ya mimi kuzuiwa kuingia na bastola yangu. Huyo anayekuja kunipora basi aliniplania na angeweza kunipora popote pale nje na treniniBecause anaweza kutokea mtu akakupora na akamdhuru mtu mwingine
Hiyo ni probability tu mkuu na wala haiwezi kuwa sababu ya mimi kuzuiwa kuingia na bastola yangu. Huyo anayekuja kunipora basi aliniplania na angeweza kunipora popote pale nje na trenini