Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said Njoo Mkoa wa Geita

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said Njoo Mkoa wa Geita

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa.
Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na umeme utawafikia loni wananchi
 
Back
Top Bottom