Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Masaa machache baada ya JPM kutembelea kwa ghafla kwenye vyombo vya habari vya CCM na kukukuta hali mbaya ya kiuendeshaji na madeni lukuki ya wafanyakazi.
Taarifa Zilizopatikana jion hii zisizo kuwa na shaka yoyote zinasema Mkurugenzi mpya Ameteuliwa na bado kutangazwa Jina la mkurugenzi huyo ni Muungano Saguya.
i. Inasemekana Saguya aliwahi kuwa msaidizi wa karibu wa JPM wakati akiwa waziri wa Ardhi.
Inadaiwa bado Yeye mwenyewe hajakubali kwasababu yupo Marekani kwa matibabu . Bila shaka rais anateua mtu ambae anamjua na hana shaka nae.
Tusubiri tuone.
[HASHTAG]#AnasemaNakutenda[/HASHTAG]