Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Matumbuzi yamehamia kwenye chama sasaMasaa machache baada ya JPM kutembelea kwa ghafla kwenye vyombo vya habari vya CCM na kukukuta hali mbaya ya kiuendeshaji na madeni lukuki ya wafanyakazi. Taarifa Zilizopatikana jion hii zisizo kuwa na shaka yoyote zinasema Mkurugenzi mpya Ameteuliwa na bado kutangazwa Jina la mkurugenzi huyo ni Muungano Saguya. i. Inasemekana Saguya aliwahi kuwa msaidizi wa karibu wa JPM wakati akiwa waziri wa Ardhi. Inadaiwa bado Yeye mwenyewe hajakubali kwasababu yupo Marekani kwa matibabu . Bila shaka rais anateua mtu ambae anamjua na hana shaka nae. Tusubiri tuone. [HASHTAG]#AnasemaNakutenda[/HASHTAG]
Duuuuh hii kali au ndio mnamdiscourage jpm asimtue huyu lumumba na uhuru yenu mna visa
Huwa mnawashwa na nini lakini? Huwezi kusubiri? Namna hii mnawaharibia wenzenu!
Hata aje malaika gani , hawezi kuokoa vyombo vya habari ambavyo vimetengwa na umma , vyombo vya habari vya ccm havitakiwi na wananchi , gazeti la uhuru halitanunuliwa hata iweje ,Masaa machache baada ya JPM kutembelea kwa ghafla kwenye vyombo vya habari vya CCM na kukukuta hali mbaya ya kiuendeshaji na madeni lukuki ya wafanyakazi.
Taarifa Zilizopatikana jion hii zisizo kuwa na shaka yoyote zinasema Mkurugenzi mpya Ameteuliwa na bado kutangazwa Jina la mkurugenzi huyo ni Muungano Saguya.
i. Inasemekana Saguya aliwahi kuwa msaidizi wa karibu wa JPM wakati akiwa waziri wa Ardhi.
Inadaiwa bado Yeye mwenyewe hajakubali kwasababu yupo Marekani kwa matibabu . Bila shaka rais anateua mtu ambae anamjua na hana shaka nae.
Tusubiri tuone.
[HASHTAG]#AnasemaNakutenda[/HASHTAG]
Nadhani hata viongozi wenyewe wa chama hawayasomi, siku moja aliletewa m/kiti mmoja wa chama wa mkoa gazeti la Uhuru mbele ya macho yangu alisonya akalitupa kwenye dust bin akabaki anasoma Mwananchi.Hata aje malaika gani , hawezi kuokoa vyombo vya habari ambavyo vimetengwa na umma , vyombo vya habari vya ccm havitakiwi na wananchi , gazeti la uhuru halitanunuliwa hata iweje ,
Ni kama bendi ya TOT , hata ipige bure sokoni kariakoo hakuna atakayehangaika .
Waache wafu wawazike wafu wenzao...
Nani atanunua gazeti la Uhuru au Mzalendo karne hii ya leo? Hata Magufuli mwenyewe akijiteua kuwa mkurugenzi hawezi kuokoa gazeti, anachotakiwa ni kuacha magazeti haya hawe chombo cha propaganda za chama na kukipa ruzuku, basi.
Hutaki?Matumbuzi yamehamia kwenye chama sasa
Uongo mwingine unafaa kuitwa wa hadhi ya juuNadhani hata viongozi wenyewe wa chama hawayasomi, siku moja aliletewa m/kiti mmoja wa chama wa mkoa gazeti la Uhuru mbele ya macho yangu alisonya akalitupa kwenye dust bin akabaki anasoma Mwananchi.
Havitakiwi na wapinzani,ni sawa na mie ambae sijawahi kununua Tanzania daimaHata aje malaika gani , hawezi kuokoa vyombo vya habari ambavyo vimetengwa na umma , vyombo vya habari vya ccm havitakiwi na wananchi , gazeti la uhuru halitanunuliwa hata iweje ,
Ni kama bendi ya TOT , hata ipige bure sokoni kariakoo hakuna atakayehangaika .
Masaa machache baada ya JPM kutembelea kwa ghafla kwenye vyombo vya habari vya CCM na kukukuta hali mbaya ya kiuendeshaji na madeni lukuki ya wafanyakazi.
Taarifa Zilizopatikana jion hii zisizo kuwa na shaka yoyote zinasema Mkurugenzi mpya Ameteuliwa na bado kutangazwa Jina la mkurugenzi huyo ni Muungano Saguya.
i. Inasemekana Saguya aliwahi kuwa msaidizi wa karibu wa JPM wakati akiwa waziri wa Ardhi.
Inadaiwa bado Yeye mwenyewe hajakubali kwasababu yupo Marekani kwa matibabu . Bila shaka rais anateua mtu ambae anamjua na hana shaka nae.
Tusubiri tuone.
[HASHTAG]#AnasemaNakutenda[/HASHTAG]
Ukiamua kujitoa fahamu na kuwa Mwehu ni sawa kwa sababu ni haki yako ya kimsingi kwa mujibu wa katiba. Ila usisahau kumeza dawa...kwa maana utulize makali ya ukichaa.Nadhani hata viongozi wenyewe wa chama hawayasomi, siku moja aliletewa m/kiti mmoja wa chama wa mkoa gazeti la Uhuru mbele ya macho yangu alisonya akalitupa kwenye dust bin akabaki anasoma Mwananchi.