Mkurugenzi mpya wa Vodacom Hashim Hendi hawezi kazi aondolewe

hiki kiburi ndo kitawatoa million 60 mfanyakazi wa vodacom....... acheni kuiba bundle... hatujaongelea bei ya kifurushi tumeongelea kifurushi kuisha GB 10 ndani ya nusu saa.
malalmiko yako yapeleke Voda ili usaidiwe, GB 10 kuisha ndani ya nusu saa sisi tunakusaidiaje, wewe hujui matumizi yako yalivyo..?, nenda ukaoneshwe kilivotumika utapewa matumizi yako yote mpaka page ulizo visit, usiporidhika nenda TCRA, Ukishindwa huko nenda mahakamani
 
Mie voda hata sinaga hamu nao kabisa, kuna siku nmenunua zangu MB 100 yaani hata dakika 10 sijui kama zilifika napewa notification et sign in with voda.. Yan jmn khaa siwaelewi hawa watu kwanza vifuruushi ghaali, Wamevibadilisha ovyoovyo tuu yan sijui wakoje mi nachukia kweli, NAIMISS VODA YA ZAMANI [emoji24]
 
Sasa umefura nini...usikute huyu ndo mwizi mwenyewe
 
Si uhame mama kwanini unateseka
 
tunalalamika ndio coz wanaweza kufanya modifications kutokana na malalamiko yetu
Nani kasemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani voda wapate hasara kisa kukufurahisha wewe???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33] Endelea kupambana ukiamini hivyooo
 
Nani kasemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani voda wapate hasara kisa kukufurahisha wewe???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33] Endelea kupambana ukiamini hivyooo
Jaman, lakini na ww mbona ndo unazidi kuniongezea machungu[emoji24][emoji24]
 
[emoji24] yani natamani sana ningeeza fanya hivo but tatzo sasa hyo ni official number [emoji24]
Okay... Iache iwe ni ya kupokea simu tu wakati huo sajili line ingine ya mtandao mwingine ndo Uwe unawapigia wateja na kuwasisitiza watumie zaidi hiyo namba mpya
 
Voda ni wezi yani unaweza nunua vocha ya kukwangua ukaiweka mezani wakaiiba. au wanawez kutext "ndugu mteja iyo vocha muda wake imefika tafadhali tunaihitaji"
 
Okay... Iache iwe ni ya kupokea simu tu wakati huo sajili line ingine ya mtandao mwingine ndo Uwe unawapigia wateja na kuwasisitiza watumie zaidi hiyo namba mpya
Wow asante kwa ushauri, wacha tu nifanye hivo maana the situation is worse kabisa
 
Voda ni mtandao expensive way back kama unastuka leo pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…