Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
πππππππππππππππVoda ni wezi yani unaweza nunua vocha ya kukwangua ukaiweka mezani wakaiiba. au wanawez kutext "ndugu mteja iyo vocha muda wake imefika tafadhali tunaihitaji"
Unajua kwamba Tigo Tanzania ameinunua Zantel?[emoji23]
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana...