LGE2024 Mkurugenzi Mtendaji wa FAOPA: Uchaguzi huu umefana, zoezi limefanyika kwa amani, tuipongeze mamlaka

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya!

=====

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na Utawala Bora), Baltazar Komba amezungumzia mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 akisema ufuatiliaji wao umebaini kuwa wananchi walishirikishwa ipasavyo hali iliyosaidia kuwepo kwa utulivu wakati wa utangazaji wa matokeo mara baada ya kumaliza kwa zoezi la upigaji kura hapo jana.
 
Mtoa mada wa hiyo post ambayo imewekwa tangu jana lkn mpaka leo hakuna comment za maana, JITAFAKARI
 
Wakuu,

Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya!

=====

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na Utawala Bora), Baltazar Komba amezungumzia mwenendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 akisema ufuatiliaji wao umebaini kuwa wananchi walishirikishwa ipasavyo hali iliyosaidia kuwepo kwa utulivu wakati wa utangazaji wa matokeo mara baada ya kumaliza kwa zoezi la upigaji kura hapo jana.
Watafiti wanadai waafrika bado Wana undergo revolution kuelekea kuwa binadamu

Tunayo safari ndefu
 
Nipoteze muda kusoma maoni/mtazamo wa "Baltazar"!!!???
 
Back
Top Bottom