BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Watuhumiwa katika kesi hiyo ni William M. Makufwe ambaye kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Chrostopher M. Nyaki aliyekuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Rungwe, Mbeya.
Katika hati ya Mashtaka, watuhumiwa hao pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Inter-Business, Christopher D. Mwakanyamale wanadaiwa Kula Njama, Kutumia Vibaya Mamlaka na Kufanya Ubadhirifu wa Fedha za Uchaguzi wa Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025.
Hata hivyo, Makufwe ambaye ni DC wa Makete alikana mashtaka na kuachiwa kwa dhamana huku taratibu za kuwapata washtakiwa wengine zikiendelea. Shauri litarejea tena Mahakamani Julai 3, 2023 kwaajili kusikiliza maelezo ya awali.