Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu.
"Tunafikiri Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%".
United walimaliza katika nafasi ya nane kwenye Ligi Kuu msimu uliopita na kichapo cha 3-0 Jumapili kutoka kwa Liverpool kiliifanya kupoteza mara mbili katika mechi tatu za msimu huu, na kuwaacha katika nafasi ya 14.