Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA: Natoa rai kwa ambao wana ubunifu unaohusika na TEHAMA watuone

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA: Natoa rai kwa ambao wana ubunifu unaohusika na TEHAMA watuone

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Vijana wana uwezo mkubwa sana wa kubuni, nawasifu sana na wanajituma, kazi yetu kubwa ni kuhakikisha kwamba kwanza tunazitambua hizo bunifu zao"

"Natoa rai kwa ambao wana bunifu ambazo zinahusika na TEHAMA watuone, ili tuweze kuwapa ushauri zaidi, watu ambao wana mitaji na wapo tayari kusaidia ubunifu ukue wapo" - Dr. Nkundwe M. Mwasaga, Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya TEHAMA"

Sasa hivi nadhani mtakubaliana na mimi kwamba ukizungumzia TEHAMA ya Tanzania kwa kiasi kikubwa ni Dar es salaam, sisi ni kazi yetu kuhakikisha kwamba bunifu sio zinatokea tu Dar es salaam zitokee na mikoa mingine"

Screenshot 2023-06-24 at 10-57-57 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA - Google Search.png
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA, Dk. Nkundwe M. Mwasaga alipozungumza mambo mbalimbali yanayohusu TEHAMA kupitia EAtv hiyo jana tar. 23, 06,2023.

Credit: EATv
 
Back
Top Bottom