Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Unafikiri nini kilitokea huko ndani mpaka mkeka ukachanika?
Soma Pia: Baada ya Bernard konga kamaliza muda wake kama mkurugemzi mkuu NHIF tunashauri na tutegemee nini tunapoelekea kupata DG mpya?
=======
Napenda kuwataarifu kuwa Bw. Bernard H. Konga (Mkurugenzi Mkuu) amemaliza mkataba wake wa ajira tarehe 08 Agosti, 2024. Kwa sasa Bi. Grace A. Temba anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.
Kwa niaba ya watumishi wote, tunamshukuru Bw. Bernard H. Konga kwa utumishi na uongozi wake madhubuti kwa Mfuko na tunamtakia kila la heri katika maisha yake na majukumu mengine atakayopangiwa. Vilevile, tunamuombea Bi. Grace A. Temba kila la heri katika kipindi hiki anapoongoza Mfuko.