Kamuingiza na boss wake Kassim Majaliwa kwenye hilo kundi maana ni miongoni mwa walioamini
🤣Na ndio ngoja tuone itakuaje akiisikia hii
Duh!..Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini
🤣😃😅😁😄😆Kamuingiza na boss wake Kassim Majaliwa kwenye hilo kundi maana ni miongoni mwa walioamini
We ndio mzushi mkubwa na mwongo. Dr Ryoba hawezi kusema hayo maneno. Sababu inajulikana.Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.
Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.
#KongamanoHabari2022
Sijawahi ona mkurugenzi wa hovyo km Ryoba hana sifa na hawezi kazi ya ukurugenzi aliwekwa na Magu sababu ya ukanda. Anachoweza ni ulevi na kubwabwaja sijui kwanini hawajamwondea mpaka Leo. TBC hakuna kitu haina mvuto wowote wala taarifa ya maana bora Channel Ten baba lao ITV. Aondolewe.Yeye na TBC yake kuna nini cha maana wanafanya zaidi ya ujinga ujinga tu...
Nilikuwa naangalia LIVE mbona sijasikia hayo maneno uliyoandika hapa yanayohusu mvuvi kupiga mlango wa ndegeMkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.
Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.
#KongamanoHabari2022
Ujinga ni sehemu ya maisha ya binadamu na si tusi kwani mjinga ukimuelewesha ujinga humtoka.Kamuingiza na boss wake Kassim Majaliwa kwenye hilo kundi maana ni miongoni mwa walioamini
Ajira yake kaiweka kwenye samadi kwa kauli hiiMkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayoub Rioba amesema Habari za kizushi mara nyingi zinawachota watu wajinga ambapo amefafania kuwa ujinga si tusi lakini watu wajinga maana yake ni watu wasiokuwa na maarifa ya kutosha.
Akizungumza kutoka katika kongamano la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika jijini Dar es Salaam Rioba amesema watu wajinga hata wakiambiwa mvuvi amepiga mlango wa ndege, mlango ukafunguka wanaamini.
#KongamanoHabari2022
Nilikuwa naangalia LIVE mbona sijasikia hayo maneno uliyoandika hapa yanayohusu mvuvi kupiga mlango wa ndege
Kwanini usilete video inayothibitisha hayo maneno uliyoandika.
We ndio mzushi mkubwa na mwongo. Dr Ryoba hawezi kusema hayo maneno. Sababu inajulikana.