Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

Umesema Vyema sana" .. naona amekuwa mzito kujifunza
 
Kakonko na Buhigwe ni Halmashauri ambazo mtatafuta sana mchawi, mchawi wenu ni yule aliyewatenganisha na halmashauri mama. Kakonko haina vyanzo vya mapato kabisa usiwasingizie watu kupiga maana kama mnashindwa hata kulipa posho za madiwani kwa kikosa vyanzo vya mapato unafikiria nini
 


Huyu kwenye picha ni wewe mwandishi au ndiye huyo wa kumwogopa kama ukoma!
 
Special people

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Tuna subiria akivuka tar 10 Jan basi ameshindikana .....!!! Tunasubiri tuhuma zake nyingi mnoooo ....nitamsogelea kanisani X Mass hii nipeane amani baraka
 
Watanzania tumekuwa watu wa kupenda Umbea na Majungu muda wooooooote. Jamiii iliyojaaa masengenyo na roho za Husda ili wengine waharibikiwe inaaaashiria hali ya Umaskini wa Kupindukia na Elimu duni. Mungu angaza mwanga wako wa Upendo kwa Sisi watu wako iwe kadri ulivyotuuusia kwamba AMRI KUU NI UPENDO.
Pole sana Mkurugenzi kwa Vikwazo, naaamini kwa Nguvu zake Muumba utayashinda makombora haya.
 
😞
 
Mkuu,Mungu mkubwa jamaa kasimama mbele ya pilato leo
 
Mkuu kasimama mbele pilato leo,Mungu mkubwa kayavurunda sana walikua wanamwangalia tu,leo kakanyaga bahati mbaya wanamrudishia makusudi
 
Mkuu hakuna kitu kinakuja humu kwa bahati mbaya
 
leo yamemkuta lusubilo mwakabibi ila huyu msaliti kwa wenzake elia kuna wakati alikuwa na akili timamu kumbe
 
Eliya wewe bado ni mpinzani au uliunga Mkono juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…