Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Duh,funguka zaidi mkuu 😄Wameajiri Wahudumu vibaka na Malaya, SGR utekelezaji wake ni hovyo lifespan yake 1-10years maximum hovyo
Sasa mkuu wewe ulifuata wahudumu au ulikuwa unahitaji means of transport.Wameajiri Wahudumu vibaka na Malaya, SGR utekelezaji wake ni hovyo lifespan yake 1-10years maximum hovyo
alaa kumbeeee basi wapo sahihi pombe kharamuShida watu wanaingia na konyagi badala ya maji
Ananunua maji anakunywa nusu then anajaza konyagi ndogo, TRC wapo sahihi kwa hilo hata mimi shahidialaa kumbeeee basi wapo sahihi pombe kharamu
Siku nikiwapa mtihani ndipo mtajua hamjui.Unatufundisha kazi Kuwa makini
Tatizo haujawahi kupanda treni, ndani ya treni imo hoteli na baa.Ananunua maji anakunywa nusu then anajaza konyagi ndogo, TRC wapo sahihi kwa hilo hata mimi shahidi
UWT sijui kama una akili, wanapozuia kuingia na vyakula maanake kwenye train au ndege hakuna vyakula? usalama wa vyakula vya nje unaujua?Tatizo haujawahi kupanda treni, ndani ya treni imo hoteli na baa.
Ukiwa na hamu ya kunywa pombe nenda kwenye behewa lenye baa utakunywa na kongolo utakula.alaa kumbeeee basi wapo sahihi pombe kharamu
Mbona kwenye treni ya zamani hawakatazi vitu hivyo.Shida watu wanaingia na konyagi badala ya maji
Kama vyakula vya nyumbani si salama, hao abiria wanawapata toka wapi? Au ni wafu!UWT sijui kama una akili, wanapozuia kuingia na vyakula maanake kwenye train au ndege hakuna vyakula? usalama wa vyakula vya nje unaujua?
Kama kwenye ndege za International pombe wanagawa Treni kuna shida ganiAnanunua maji anakunywa nusu then anajaza konyagi ndogo, TRC wapo sahihi kwa hilo hata mimi shahidi