Mkurugenzi Usalama wa Taifa wa Marekani awekwa kikaangoni na Senators masaa manne ya moto.

Huyo siyo mkurugenzi wa usalama wa taifa!

Usalama wa taifa Marekani / National Security Agency ni idara tofauti kabisa na USSS.

Mkurugenzi wa usalama wa taifa Marekani ni Jenerali Timothy D. Haugh.

Usalama wa taifa Marekani ni sehemu ya wizara ya ulinzi.

USSS ipo chini ya wizara ya Homeland Security.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…